Jioni - Voice of America

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • 59 minutes 59 seconds
    Shinkizo la kutaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025 - Mei 10, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    10 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Umoja wa Ulaya kimsingi umeridhia makubaliano ambayo yatatumia mapato kutoka kwa mali za Russia zilizozuiwa kusambaza silaha kwa Ukraine. - Mei 09, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    9 May 2024, 4:30 pm
  • 30 minutes
    Madaktari nchini Kenya wamesitisha mgomo wao ambao umedumu kwa takribani siku 56. - Mei 08, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    8 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Wachunguzi wa Ukraine wanasema walizima mpango wa mawakala wa Russia wa kumuua Rais Volodymyr Zelenskyy. - Mei 07, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    7 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Mataifa ya Afrika mashariki yameamua kushirikiana katika ujenzi wa reli ya mwendo kasi SGR ili kuimarisha uchumi na uchukuzi wa nchi hizo. - Mei 06, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    6 May 2024, 4:30 pm
  • 30 minutes
    Israel yafunga matangazo ya Al Jazeera - Mei 05, 2024
    5 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Shirika la hali ya hewa Duniani linaonya athari za kimbunga Hidaya kinachotarajiwa kutua Tanzania na Kenya. - Mei 04, 2024
    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
    4 May 2024, 4:30 pm
  • 59 minutes 59 seconds
    Hali ya uhuru wa waandishi na vyombo vya habari Afrika Mashariki - Mei 03, 2024
    3 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Serekali ya DRC yamuagiza gavana wa Ituri kuwafurusha na kuwarudisha kwao raia wote wa China wanaochimba migodi kinyume cha sheria - Mei 02, 2024
    2 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Rwanda inasema imebuni ajira milioni 1,300,000 miaka mitano iliyopita - Mei 01, 2024
    1 May 2024, 4:30 pm
  • 29 minutes 59 seconds
    Serikali ya Kenya yawaagiza raia wanaoishi katika maeneo yanayokabiliwa na mafuriko kuondoka ndani ya saa 48 - Aprili 30, 2024
    30 April 2024, 4:30 pm
  • More Episodes? Get the App
© MoonFM 2024. All rights reserved.