Rick Ross awaongelea Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto, Drake, Kuja Serengeti, Mlima Kilimanjaro
Rapa mkubwa wa Marekani, Rick Ross amefanya interview LIVE kwa njia ya Mtandao na Mtangazaji maarufu Tanzania, Lil Ommy, The King of Interviews na kuongea mengi kuhusu mpango wake wa kufungua tawi la lebo yake MMG (Maybach Music Group) Afrika, kuwa tayari kutumia lugha ya kiswahili kwenye nyimbo zake, kuwekeza Afrika, Tanzania, kutembelea Serengeti na mlima Kilimanjaro kwa muda wa wiki moja, Biashara zake na Belaire, Villon, Wingstop n.k
Katika interview hii, Rozay The Boss amelezea mambo zaidi ya 10 yatakayokufanya ufanikiwe katika Maisha, pia ameongelea alivyofanya wimbo na Diamond Platnumz (waka waka, ilikuaje), ukaribu wake na Hamisa Mobetto, Drake, Belaire, Villon pamoja na Biashara zake Wings, Kumiliki magari zaidi ya 100, kununua magari ya zamani, Nyumba yake kutumika kwenye Movie ya Coming 2 America 2 (The Royal Palace).
Rick Ross ameachana pia Grammy, amezungumzia kitabu chake kipya 'The Perfect day to Boss Up' jinsi anavyoamka asubuhi, vitu anavyofanya na kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yake! Lil Ommy, amemuliza pia kuhusu kumiliki leseni ya gari akiwa ana magari zaidi ya 100 na hakuwa kuwa na leseni!
Subscribe Channel hii, LilOmmyTV kuangalia full interview ambayo imewekea tafasiri ya kiswahili kwa uelewa zaidi. Like & Comment!
Let's Connect
http://www.instagram.com/lilommy
http://www.twitter.com/LilOmmy
https://mobile.facebook.com/lilommyfa...
https://wlo.link/@lilommy
https://lilommy.com/
Subscribe, Stream, Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter.
20 September 2021, 7:04 pm