• 10 minutes 1 second
    Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla

    Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla.

    Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.

    2 October 2026, 3:42 pm
  • 10 minutes 1 second
    Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026

    Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali 

    25 September 2026, 1:10 pm
  • 10 minutes 13 seconds
    Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026

    Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, 

    Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali

    24 July 2026, 10:10 am
  • 9 minutes 54 seconds
    Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026

    Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii.

    @billy bilali 

    12 June 2026, 9:44 am
  • 10 minutes 2 seconds
    Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali

    Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026.

    Kumbuka pia kumfollow 

    @billy bilali

    22 May 2026, 4:25 pm
  • 10 minutes
    Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu

    Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia

    @billy bilali 

    8 May 2026, 2:34 pm
  • 10 minutes 4 seconds
    Makala Muziki Ijumaa, pata burudani
    24 April 2026, 3:38 pm
  • 10 minutes
    Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa
    3 April 2026, 8:13 am
  • 10 minutes 5 seconds
    Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya

    Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize

    13 March 2026, 6:08 am
  • 10 minutes 23 seconds
    Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati

    Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.
    Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu.

    Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la Kool & The Gang  wimbo uliogeuka kuwa nembo ya sherehe duniani kote, ukiwahamasisha watu kusahau huzuni na kusherehekea maisha.

    Kutoka hapo tunatua Karibiani kupitia “Jamaica Farewell” wa Don Williams, wimbo wenye ladha ya country na mguso wa kisiwa, unaoelezea mapenzi, kumbukumbu na uchungu wa kuaga ardhi unayoipenda.

    Safari inaendelea nyumbani Afrika Mashariki kwa kibao cha Kiswahili “Mulofa wangu” cha marehemu Daudi Kabaka kutoka Kenya, wimbo wa mapenzi uliojaa hisia nzito na lugha tamu, unaothibitisha ubora wa muziki wa zamani wa Afrika Mashariki.

    Tunafunga safari yetu Afrika ya Kati kwa “Le Bon Samaritain” wa gwiji wa rumba Papa Noël kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wimbo unaochanganya ala za gitaa za kipekee na ujumbe wa utu, huruma na kusaidiana katika jamii.

    9 January 2026, 9:41 am
  • 10 minutes
    Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili

    Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa.

    Skiza makala ya jumaa hili.

    24 December 2025, 9:40 am
  • More Episodes? Get the App