- 48 minutes 10 secondsEXCLUSIVE: JUX ASIMULIA YOTE BAADA YA KUFUNGA NDOA, ATOA JIBU LA NDOA YA KIKRISTO NIGERIA11 July 2025, 5:43 pm
- 1 hour 23 minutesEXCLUSIVE - JESCA MAGUFULI ASIMULIA SIKU ZA MWISHO ZA RAIS MAGUFULI KABLA YA KIFO, MAISHA NA FAMILIA29 April 2025, 4:32 pm
- 20 minutes 4 secondsExclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.
13 January 2023, 7:23 pm - 48 minutes 50 secondsEXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA
Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.
3 March 2020, 2:21 pm - 37 minutes 3 secondsIRENE UWOYA: "NIKO TAYARI KWA NDOA YA 3, SIKUWAHI KUBADILI DINI17 February 2020, 6:41 am
- 17 minutes 28 secondsEXCLUSIVE HISTORIA YA GIGI MONEY BABA POLISI MAMA MHALIFU
karibu kwenye Podcast ya kwanza kutoka kwa Millard Ayo akiwa na Gigy Money
21 November 2018, 2:20 pm - More Episodes? Get the App